Nilikutana na hii kwenye Blog ya Dada yangu mpendwa Yasinta, nikaipenda sana hii na kuwaleteeni wadau wangu pia msikilize Mama huyu kuhusu elimu. Nimefurahishwa sana na jambo hili.
-BUKUA BUKUA MAMA KAZANA SANA KWANI; ELIMU NDIO MSINGI WA KUWA FISADI!
1 comment:
Na hao wanaomcheka wataona hapo mwisho. Hawa ndio wanawake wa shoka tunaowataka. Jitahidi dadangu.Elimu haina mwisho!!
Post a Comment