Thursday, May 6, 2010

MBUNGE NA MKUU WA MKOA WASHAMBULIANA HADHARANI!

Mbunge wa Simanjiro, Mh.Ole Christopher Sendeka, na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mh.Henry Shekifu wameshutumiana vikali nusu wazinyuke baada ya kushambuliana kwa maneno hadharani katika mkutano uliofanyika wiki iliyopita na kuzua tafrani ukumbini.

-Kazi kweli kweli....!!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI