Thursday, May 6, 2010

AJALI YA MALORI YALIWAKA MOTO HUKO VIGWAZA.







Ajali ya malori yaliyowaka moto na kuteketea kabisa huko maeneo ya Vigwaza - karibu na Kibaha. Watu watano wamepoteza maisha katika ajali hii.

-Ahmad Issa Michuzi.



No comments:

WATEMBELEAJI