Thursday, June 17, 2010

BAMBINI - TEMPI - DURI! - WATOTO WAKATI MGUMU!

Watoto hawa wakiongelea wakati mgumu kama huu wa uchumi wa Dunia ulivyo yumba, wanasema;

Hakuna kuwa na nywele, hakuna kuwa na meno, hakuna kuwa na misuri, hakuna kazi na hakuna kuwa na gari....mambo yakiendelea hivi, kama hayawi mazuri; Itakuwa ni shida hata kupata wasichana wa kutoka nao kwa weekend!

No comments:

WATEMBELEAJI