Wednesday, June 16, 2010

HATARI ZETU ZIPO NJE NJE....KILA KONA!

MTAA WA KONGO - JIJINI DAR ES SALAAM - TANZANIA.

Kitu cha hatari kama hiki cha umeme karibu na makazi ya binadamu, na jinsi yanavyopasukaga haya wakati mwingine! Hapa karibu sana na duka, ambapo ni makazi ya watu. Kwakweli hatari zetu zipo nje nje....kwa wenzetu hapa ingekuwa kesi kubwa sana, huwezi kuishi na vitu hatari kama hivi kwa ukaribu wa namna hii. Sasa sijui tuseme makusudi au hawaelewi, hawaoni??? kwasababu watu hawajui kitu au ni ubabe tu??? Kutuwekea vitu kama hivi hatari tena hatari kubwa sana kwa ukaribu huu hivi mnataka kuua watu?, wahusika mnaona au??? Hivi kweli mnajali maisha ya watu ili wasiwe na hatari za maisha yao kila kukicha??? Tayari tuna matatito mengi sana ya kimaisha, tena mnatuongezea mengine kwa makusudi tu, maana pia ni hatari kwa afya za watu. Kwakweli Bongo ni tambarare...kazi kweli kweli....!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI