Thursday, June 24, 2010

MABINGWA WATETEZI ITALY WATOLEWA KATIKA MASHINDANO!


Italy kurudi nyumbani, baada ya kutolewa katika mashindano. Ndo mchezo wa mpira unavyokwenda, watu hutaka kushinda daima, hawakumbuki hata wenzao pia wanataka kushinda vilevile. Sasa lawama kibao kwa huyu kocha Lippi, wamesahau hata ushindi wake wa 2006. Kazi kweli kweli...!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI