Mama n'tilie nitilie ili nipate kushiba, bila nyinyi maisha ya wangonge hayaendi....hapa maisha yanaenda tu mswanu duu!!!! Akina mama hawa wanasaidia sana jamii katika maisha ya msosi hasa ya sisi wanyonge wenye vipato vya chini. Hongereni sana akina mama lishe!
Hapa ni mahali fulani huko Bagamoyo. (Photo credit; Muhidin Sufiani).
1 comment:
Huu ni ujasiriamali katika huduma za kijamii.Changamoto hapa ni mazingira bora na usalama wa huduma husika kwa afya za wateja.
Post a Comment