Monday, June 21, 2010

RAIS JK, KATIKA ZIARA YAKE HUKO MKOANI RUKWA!

Mama wa Waziri Mkuu Albertina Kasanga, akimkabidhi kuku JK alipowatembelea nyumbani kwao eneo la Kibaoni, Wilayani Mpanda, Mkoani Rukwa. Kushoto ni mzee Xaveri Kayanza Pinda, Baba wa Waziri Mkuu Mh.Mizengo Kayanza Pinda.
JK; akiwa pamoja na wazazi wa Waziri Mkuu, Mh.Mizengo Pinda huko nyumbani kwao Kibaoni; kushoto ni mzee Xaveri Kayanza Pinda (80) Baba wa Waziri Mkuu, na kulia ni mama Albertina Kasanga (70) mama wa Waziri Mkuu.

Rais JK, wakati alipokuwa ziarani huko Mkoani Rukwa.

No comments:

WATEMBELEAJI