Monday, June 21, 2010

SOMENI KWA FURAHA AU SOMENI KWA MATUMAINI?

Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Ifuwa, Wilaya ya Kilolo, Felista Matagi, akikagua madaftari ya wanafunzi wa darasa la pili, ambao wamekuwa wakiketi sakafuni kutokana na uhaba mkubwa wa madawati unaoikumba shule hiyo. Shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 448, na madawati ni 61 pekee. (Credit; Francis Godwin).

-WAVUTI.

No comments:

WATEMBELEAJI