Monday, June 21, 2010

VUVUZELA JINSI WATU WALIVYOGAWANYIKA DUNIANI!











Nilikuwa nasikiliza kipindi fulani kwenye Radio, wakati nikiwa mizunguko na gari, wakawa wanazungumzia kuhusu haya matarumbeta ya Vuvuzela, ambayo yanatawala huko Afrika ya Kusini katika michuano hii ya Kombe la Dunia. Wakawa wanasema Dunia imegawanyika makundi mawili, wanayo yapenda na wasio yapenda haya majamaa. Kwenye kipindi hicho cha Redioni walishinda wayapendayo, je wewe upo katika kundi gani?
KIITALY;
Insomma il Mondo sembra davvero diviso; Vuvuzelas ''Sì'' o Vuvuzelas ''NO''?
Voi da che parte state???




No comments:

WATEMBELEAJI