Saturday, July 3, 2010

HAYA NI BAADHI YA MAGARI YA SERIKALI TU...SI YA WABUNGE!

HAYA NI BAADHI TU YA MAGARI YALIYOPO KATIKA KIKAO CHA BUNGE NA NI YA SERIKALI TU....SI YA WABUNGE, JARIBU SASA KUFIKIRI YAKIWEPO YOTE NA YA WABUNGE ITAKUWAJE....NA HAYA MAGARI THAMANI YAKE NI NGAPI???


Ni jumamosi na wakati mwiningine inakuwa shida kweli kweli kufikiri na hasa kama ulikaa mpaka saa saba usiku ukidhani; AFRIKA MWAKA HUU ITAFIKA MBALI ZAIDI KATIKA SOKA, nimeandika kwa herufi kubwa kwa msisitizo tu.
Ukishamaliza hapo unajiuliza kwanini hatuendelei katika mambo mbalimbali??? baadae unakumbuka picha yako ya jana na unataka tu watu waone robo ya utitiri wa magari ya aina hii ya ghalama kubwa hapo Bungeni Dodoma......ha ha ha ha haaaaa!!! sijui ni uzushi au...lakini Dar es salaam imepungua foleni nasikia kwasababu hiyo ya kuwa magari ya Serikali na ya Umma yapo Dodoma na huko naambiwa ipo foleni ya kishiaji. Hivi hawa hawawezi kusafiri na mabasi au??? robo tatu wanatokea Dar es salaam inakuwaje hapa kwa ghalama hizi??? vile sina hata la kusema niliona tu niibandike hii hapa kama habari ya asubuhi ya leo.

-Lukwangule.



No comments:

WATEMBELEAJI