Saturday, July 3, 2010

WEEKEND NJEMA NA JUMAPILI NJEMA SANA KWENU NYOTE!

''MUNGU'' akupe kinga kwa kila ''HATARI'' baraka kwa kila ''JARIBU'' jibu kwa kila ''OMBI'' tabasamu kwa kila ''CHOZI'' na uvumilivu kwa kila ''KIKWAZO''.

-Nami nawatakieni Weekend njema sana....na Jumapili njema yenye furaha tele!
Baraka wa Chibiriti.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nawe pia wikiend njema na jumapili njema.

Baraka Chibiriti said...

Asante sana!

WATEMBELEAJI