Sunday, July 4, 2010

RISALA YA KUAGANA NA WANAFUNZI WAHITIMU WA SHULE!

Hapa mwalimu akisoma kama risala ndogo ya kuagana na wanafunzi wake kwa masikitiko kidogo kwa kuwataja majina mmoja mmoja na vituko vyao walivyokuwa wakifanya na uhodari wao, baada ya wanafunzi hao kumaliza darasa la tano shule ya msingi, katika sherehe ya jana ya kuwaaga.

-Ila mimi nimesikitika kidogo, baada ya kumwachia mmoja wa wachukua picha ili anichukulie na mimi, baada ya mimi kuwa bize sana kwenye mitambo midogo na mpigaji ngoma. Sasa kanichukulia video vibaya kuwa na giza na pia kusema betty iliisha, ameweza kuchukua kidogo kidogo sana, hasa wimbo wa kiswahili ni kipande kidogo sana, najaribu kuurekebisha ili niwaletee msikilize walivyo imba, ila itakuwa ngumu sana marekebisho yake lakini najitahidi. Pia yeye akimaliza video zake kuziweka sawa atanipatia wimbo mzima.

No comments:

WATEMBELEAJI