Sunday, July 4, 2010

MIJI INAVYOPOA WAKATI WA KIPINDI CHA JOTO!


Kipindi cha joto kali miji inavyopoa utafikiri huwa hawaishi watu....wotee wamekimbilia baharini, hapa kwenye picha ni Cesena mji nikaao, yaani leo sikukutana na mtu hata mmoja, na huwa kuna watu wa kutosha, lakini kutokana na joto kali na likizo viwanda hufungwa kabisa...kwahiyo wote huukimbia mji kuelekea baharini km 15 kutoka hapa, na safari mbalimbali nje ya nchi. Hapa utafikiri huwa naishi mimi peke yangu tu , duuh...!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI