Saturday, August 14, 2010

NIPO LIKIZO NYUMBANI TANZANIA MPAKA MWEZI WA SEMPTEMBA.

Wapendwa wangu nipo bado likizo nyumbani Tanzania mpaka mwezi ujao katikati ndipo nitarudi tena katika mtandao wetu huu, maana huku mambo ni mengi sana na vilevile mtandao wa shida kila mara, lakini nipo nanyi daima, na naomba sana msinikimbie kabisa.

Ninawasalimu sana tena sana na kuwakumbuka daima!

-Baraka wa Chibiriti.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni furaha kusikia upo salama na upo likizo nyumbani Tanzania ingawa nakuonea wivi..lol Upendo Daima...

mangi said...

Kaka Chibatari tunakusalimia sana na kukutakia mema mengi hapa nyumbani TZ.

WATEMBELEAJI