Saturday, September 11, 2010

LEO TUNAWAKARIBISHA AC.MILAN HAPA MJI WA CESENA!

Leo ni mpambano kati ya Ac.Cesena na Ac.Milan usiku huu saa mbili 20:30. Nimefurahi sana kuiona Ac.Milan hapa Cesena, ambayo ni timu yangu ya ushabiki, pia Cesena ni timu yangu ya ushabiki vilevile. Leo sina ushabiki kabisa atakayeshinda na awe mshindi. Nimerudi kutoka nyumbani Tanzania kwa likizo yangu, na kukutana na mpambano huu, ninajiandaa sasa kuingia uwanjani kushuhudia mechi hii.

-B.Chibiriti.

No comments:

WATEMBELEAJI