Wednesday, October 27, 2010

ELIMU WANAYOITAKA WATANZANIA!


Mwalimu anaonekana makini, wanafunzi nao wanaonekana makini na wenye kuelewa, inawezekana ni baada ya kupewa elimu ya nadharia na mafunzo kwa vitendo. Lakini hali halisi ipo vipi hapa kwetu? Huko katika maeneo ya vijijini ambako anaishi Babu na Bibi kuna shule za namna hii? Je shule zina vifaa kama hivi kwa ajili ya vijana wetu? Je walimu wapo wakutosha? Mie sina majibu inawezekana wewe unayo. Ebu nidokezee japo kiduchu!
By; Maggid Mjengwa.

No comments:

WATEMBELEAJI