Wednesday, October 27, 2010

CESENA MNADANI: MNADA WA NGUO NA VITU MBALIMBALI!

Kila Jumatano na Jumamosi, huwa kuna mnada wa nguo na vitu mbalimbali katika mji wa Cesena, nami leo nimetembelea kidogo kusafisha macho.

No comments:

WATEMBELEAJI