Wednesday, October 13, 2010

FURAHI NA MDUNDIKO....DUNDIKO LIKINOGA WE ACHA TU!

Hii ngoma ya mdundiko Dar es salaam, ndiyo inayoongoza kwa kupoteza watoto. Ukiunga tela tu unaweza kujikuta umetokea Mbezi Bichi hadi Uwanja wa ndege bila kujua umefika fika vipi. Kazi kweli kweli na raha kweli kweli.....!!!!!

1 comment:

mangi said...

jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili.

WATEMBELEAJI