Wednesday, October 13, 2010

MILA,DESTURI NA TAMADUNI ZETU ZINAENDA ZINAKWISHA TU!

Enzi zetu huombi mzazi akununulie Toy, kwanza hazikuwepo kabisa. Umekwenda wapi ubunifu huu jamani???

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ni jambo la kujiuliza na kuanza kurudi nyumba na kuacha kuendekeza vya madukana. Umenikumbusha mbali kweli we acha tu...

WATEMBELEAJI