Friday, October 15, 2010

RAIS JAKAYA KIKWETE NA NGOMA YA MGANDA HUKO MBINGA.


Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa Mbinga alishindwa kujizuia na utamu wa ngoma ya asili ya wenyeji wa Mbinga. Ngoma mtomoto ya mganda hiyo. Pichan JK akisakata ngoma hiyo kwa umahiri mkubwa.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika kazi ipo mpaka anapigiwa ngoma ya mganda. Safi sana Mbinga Oyeeeee na mganda oyeeee

Baraka Chibiriti said...

Kazi kweli kweli...naupenda sana tena sanaa ngoma ya mganda kuna wakati nilijifunza kucheza. Yaani ni ngoma safi sana!

WATEMBELEAJI