Friday, October 29, 2010

VIJITO VYA MAJI YA AMANI....NI RAHA TUPU!

Nilipokuwa Amani katika Hifadhi, vitu hivi vinafanya niishiwe akili kabisa, maji yenye rangi nzuri, harufu nzuri ya msitu na mazingira mazuri na kutia kiu papo hapo, ni Mbinguni kwa hakika....Haleluya!!!!

-Lukwangule.

No comments:

WATEMBELEAJI