DODOMA VIJIJINI. ELISABETTA & SARA.
HAPA KAZI MTINDO MMOJA....
SARA & FEDERICA.
HAPA KAZI MTINDO MMOJA....
SARA & FEDERICA.
Elisabetta Cortese, Sara Pretto na Federica Tregnago..na safari yao ya Tanzania. Wamehadisia sana kuhusu Tanzania. Hasa kwa watoto wa kituo cha Watoto walemavu wa akili, kilichopo Miyuji, km 6 kutoka Dodoma mjini. Wamesaidia kazi mbalimbali katika kituo hicho, pia kutembelea vijiji mbalimbali vya Dodoma.
No comments:
Post a Comment