Friday, October 29, 2010

VIONGOZI WA DINI WAKUTANA NA JK.

Viongozi wa madhehebu ya Dini Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana na kufanya mazungumzo. Ikulu Jijini Dar es salaam.

(Picha: Freddy Maro).

By; Maggid Mjengwa.

1 comment:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Tuendelee kudumisha amani tuliyonayo na viongozi wa dini mnayo nafasi nzuri ya kushiriki kikamilifu katika masuala mengi yanayohusu mustakabali mzima wa taifa letu. Inafurahisha sana kuona mnapokutana pamoja na kujadili mambo kwa umoja.

WATEMBELEAJI