Wednesday, October 13, 2010

WIMBO WA TAIFA KATIKA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA.

Baba wa Taifa letu la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alifariki tarehe 14/10/1999 katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas mjini London, Uingereza.Alizikwa Kijijini kwake Mwitongo - Butiama. Tarehe 23/10/1999.

Leo tunakukumbuka sana Baba yetu mpendwa sana, bado tunakumbuka usemi wako wakati ukiondoka Airport Dar kwenda kwenye matibabu huko London, ulisema; ugonjwa huu sita pona najua watanzania mtalia, lakini nitawaombea kwa Mungu. Ni maneno yako ya mwisho Baba, tunaamini bado unaendele kutukumbuka sana kwa kutuombea nasi vile vile tunakuombea sana. Pumzika kwa amani Baba.

No comments:

WATEMBELEAJI