Tuesday, November 23, 2010

BUTIAMA-MWITONGO KWA MWALIMU NYERERE: AGOSTI 2010.

Nikila posi na kumsikiliza kwa makini Mkuu Madaraka Nyerere, mtoto wa Mwalimu, wakati akitoa maelezo ya Mwalimu Nyerere wakati wa uhai wake. Kwakweli alitukaribisha vizuri sana Mkuu Madaraka. Agosti mwaka huu wa 2010. Nilipo tembelea huko Butiama - Mwitongo.


Hapa ndipo sehemu nilipo lala mimi, chumba kikubwa sana mpaka kinatisha ukichukulia hakina vitu vingi ndani yake. Kitanda na meza ndogo basi, ni nyumba waliyo mjengea wanajeshi...zawadi ya jeshi la Tanzania kwa Mwalimu.







Makumbusho ya vitu mbalimbali alivyokuwa akitumia Mwalimu, pia na zawadi mbalimbali alizo zawadiwa sehemu mbalimbali.




No comments:

WATEMBELEAJI