Tuesday, November 23, 2010

HII INATOKA NEW YORK HADI SYDNEY KWA MASAA 3 TU!

Haya sasa Sayansi na Tekelinalo kuijia hii;

Ndege mpya ambayo inatengenezwa kwasasa inaitwa; NASA X-43 A, ambayo itakuwa na uwezo wa kutoka New York hadi Sydney kwa masaa matatu tu, spidi yake itakuwa 6000 kmh (kwa saa). Wakati ndege za kawada hazifiki hata spidi 1000 kmh. Ukiacha za kijeshi.
Haya sasa mambo hayo; kwakweli hii ni hatari na inatisha...

1 comment:

Simon Kitururu said...

Ikipiga mzinga sahau kukuta mabaki ya mtu hapo!

WATEMBELEAJI