Nimerudi na ushindi leo, ndo nimetoka sasahivi mpirani, baridi kwa sana ile mbaya, lakini....nimefurahi sana kurudi na ushindi, baada ya Cesena kumtandia Lazio bao moja kwa nunge. Cesena oyeee...!!!!
Post a Comment
No comments:
Post a Comment