Wednesday, November 10, 2010

WAHESHIMIWA WAWASILI MJENGONI...MAKAO MAKUU DODOMA!

Rais Jakaya Kikwete, akipokea salamu ya ''Salute'' toka kwa kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Zelothe Stephen.
Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abed Karume naye amewasili tayari Dodoma.

Dk.Willibrod Slaa, akisalimiana na baadhi ya Wabunge katika Jengo la Bunge, leo mjini Dodoma, baada ya kuwasili katika mkutano wa Wabunge wake leo mchana. Katikati ni Mheshimiwa Mbunge Dk.Hussein Mwinyi.


Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe, akijisajili katika Ofisi za Bunge leo mchana, huku afisa wa Bunge Asia Paul Minja akishuhudia.



Sugu - Mr.II akiwachekesha Wabunge wenzake, kazi kweli kweli....!!!!




Mbunge wa Mbeya mjini, Mh.Joseph Mbilinyi aka Mr.II alias Sugu.












Mbunge wa Jimbo la Urambo mashariki Mh.Samwel Sitta, akisalimiana na Mbunge wa Same mashariki Mh.Anne Kilango Malecela.
-Picha kutoka kwa Subi.







No comments:

WATEMBELEAJI