Saturday, November 27, 2010

DAR ES SALAAM IMEKUA SANA MPAKA INATISHA SASA!

Dar es salaam.... imekuwa sana mpaka inatisha sasa. Miaka michache iliyopita haikuwa hivi, lakini sasa angalia ilivyokuwa, ni mbanano haswa! Hapa ni maeneo ya Vingunguti tu, picha kutoka angani.

-Picha na Mjengwa!

No comments:

WATEMBELEAJI