Saturday, November 27, 2010

MCHEZAJI MPIRA MAARUFU KAKA'...AKI BELONG NA JESUS!

Bila uoga wala aibu yoyote mchezaji mpira Kaka' aki Belong na Jesus, safi sana Kaka' maana wengine huwa wana aibu kuonyesha upendo wao kwa Yesu Kristu! Kwanini uone aibu kuwa na Yesu Kristu? Hata mimi; I BELONG TO JESUS, daima siku zote!

WATEMBELEAJI