Wednesday, November 24, 2010

KAMA HAPA NI USONI MWA TANZANIA JE KWINGINE KUTAKUWAJE?

Huu Mji wa Dar es salaam ni maarufu sana kwa Tanzania yetu, kutokana na mambo yote hufanyikia katika Jiji hili la Dar es salaam. Hata kama Mji mkuu ni Dodoma...lakini ni jina tu! Viongozi wote wakubwa wa Taifa letu wanaishi katika Jiji hili, swali langu ni hili; kama hapa ni usoni mwa Jiji la Dar es salaam, Je kwingine itakuwaje?????

No comments:

WATEMBELEAJI