LIGI KUU YA ITALIA KUCHEZWA LEO USIKU SAA 20:30.
Ligi kuu ya daraja la kwanza (Serie A) Italia...kukipiga leo usiku Jumatano 10, saa 20:30. Na mimi najiandaa sasahivi kuingia uwanjani hapa Cesena, kushuhudia timu yetu ya AC.Cesena kucheza na timu ya Lazio, ambayo inaongoza ligi kuu kwasasa. Timu yetu ya Cesena inashikilia mkia mpaka sasa...sijui itakuwaje kucheza na wanao ongoza katika msimamo wa Ligi hii, tutaona usiku huu itakavyokuwa. Mungu saidia Cesena ishinde!
No comments:
Post a Comment