Thursday, November 11, 2010

MCHEZAJI MPIRA WA ZAMANI; BAGGIO ATWAA TUZO YA AMANI.

Mchezaji mpira (Mwanasoka) wa zamani wa Kimataifa wa Italia, Roberto Baggio...ameteuliwa kutwaa tuzo maalumu ya Amani ya Nobel mwaka huu, Peace Summit Award 2010 kutokana na mchango wake mkubwa kwa Jamii.

No comments:

WATEMBELEAJI