Thursday, November 11, 2010

KICHEKESHO CHA LEO!

Jamaa mmoja alikwenda kwa mganga mmoja wa jadi maarufu. Baada ya kueleza shida yake, mganga akamwambia; hiyo ni kazi ndogo sana, sasa kaniletee vitu vifuatavyo ili nikuague shida yako;



1). Tako la nyoka.

2). Ngozi ya jino.

3). Kwato la mbu.

4). Mkaa wa migomba.

5). Macho ya sisimizi.



Jamaa kusikia vile akamwambia mganga nimeshindwa.

Je ungekuwa wewe ungefanyeje? na wewe una shida?



Kazi kweli kweli....!!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI