MITAA YA CESENA BADO SHWARI...THERUJI BADO HAIJAVAMIA!
Tunasika tu! kwa wenzetu majirani, wamevamiwa na theruji ile mbaya...laini sisi hapa Cesena bado shwari kabisa. Ila kuna dalili za kushuka muda si mrefu, huwa ni karaha sana ikishuka kwa mambo mbalimbali hasa utumiaji wa magari inakuwa ni shida sana!
2 comments:
Ha ha haaaaaa! Kaka B. we ngoja tu jidai sasa unapoweza:-)
Kabisa Dada Yasinta, najidai kabisa kwasasa. Maana shuruba yake si mchezo.
Post a Comment