Milima maarufu ya Lukumburu, inayofahamika na kuheshimika na madereva wa njia hiyo kwa kona zake kali na za hatari. Ukiwa unasafiri kutoka Njombe kwenda Songea, dereva lazima uwe makini sana na hizi kona. Cha msingi ni kuhakikisha unakaa katika saiti yako muda wote, hasa hasa kwenye kona.
No comments:
Post a Comment