Thursday, November 25, 2010

TANZANIA IMEKAMILIKA NA VIONGOZI WOTE BAADA YA UCHAGUZI!


Baada ya uchaguzi Mkuu kuisha salama, sasa viongozi Tanzania wamekamilika....Rais, Mawaziri, Wabunge na Madiwani. Sasa tunasubiri tu ahadi zetu walizo tuahidi. Je watazitekeleza ipasavyo?
-Tunawatakia mema mengi....na pia mtende haki sawa kwa wote! Hasa kwa wanyonge maskini. Kila lakheri Tanzania!

No comments:

WATEMBELEAJI