Monday, November 8, 2010

UKITAKA KUBADILI TAIFA USIPOTEZE MUDA WAKO NA......

Ukitaka kubadili Taifa lako, usipoteze muda wako kwa kubadili fikra za watu wazima. Rudi kwa watoto, Taifa lijalo, Taifa tulitegemealo, wape elimu ya haki na upendo daima, hapa Taifa litaokoka. Aliye lamba rushwa kashalamba tu! kamwe haachi.

Hawa ni watoto yatima wa Makalala Children's Home - Mafinga - Iringa.
Makalala...Way to go kids!

No comments:

WATEMBELEAJI