Monday, November 22, 2010

UPIKAJI WA CHUMVI KATIKA KIJIJI CHA KINANGALI - MANYONI.

AGOSTI, 2010.

Hapa mama huyu anachuja maji ya chumvi kabla ya kwenda kupika chumvi yenyewe, na chumvi hiyo inatokana na maji haya pamoja na udongo wa chumvi, ambapo vinachanganywa pamoja na inatoka chumvi nzuri sana nyeupe kweli!

No comments:

WATEMBELEAJI