Tunakukabidhi nchi yetu kwa mara nyingine tena Baba JK....kwa miaka mingine mitano tena.
JK: Nitailinda na kuitetea Tanzania yangu.....
JK akila kiapo, kwamba ataiongoza nchi kwa uaminifu na kuilinda ipasavyo...kwa mara nyingine tena Watanzania kumkabidhi nchi yao, ili atuongoze kwa miaka mingine mitano. Tunakutakia kila lakheri Rais JK, ili utuongoze vizuri kwa uaminifu na kutetea maslahi ya wananchi, pia kuilinda nchi yetu ipasavyo.
Mungu Ibariki Tanzania.
No comments:
Post a Comment