Thursday, December 2, 2010

FOTOBARAZA IMETUUNGANISHA SANA....TUMEFAHAMIANA SANA!

Mkuu wa Fotobaraza wa kwanza kushoto, Mkuu Babukadja akiwa na wadau wa Arusha, hapo Jijini Bongo, Dixon na mchumba wake... Babu ndie mwanzirishi wa Fotobaraza ambayo imetuunganisha sana vijana wengi tumefahamiana kupitia hii Fotobaraza. Mimi binafsi nimefahamiana na watu wengi sana na tumekuwa marafiki wakubwa sana kupitia kijiwe hichi cha Fotobaraza. Hongera zangu nyingi sana kwa Babu kwa kupata wazo zuri la kutuunganisha.
Karibuni nyote; www.fotobaraza.me.

No comments:

WATEMBELEAJI