Thursday, December 2, 2010

WATOTO HAWA WAKIFURAHI MAPENGO YOTE NJE!

Kufurahi ni mhimu sana katika maisha na kwa afya pia ni nzuri sana, kwa watoto ni furaha kila siku....na sisi wakubwa tungeweza kufurahi hivi kila siku Duniani kungekuwa hakuna hata vita!

Picha hii nimeipenda sana ni; Watoto wa ndugu yangu mmoja wa huko Arusha, alinitumia na kusema angalia wajomba zako walivyokuwa. Nimefurahi sana kuona wakifurahi!

No comments:

WATEMBELEAJI