Wednesday, December 1, 2010

MH.JOHN POMBE MAGUFULI. WAZIRI WA UJENZI!

Waziri wa ujenzi, Dk.John Pombe Magufuli (pichani), ameanza kazi na kuambiwa aanze kuwabana waliojenga barabara ya Kilwa, kutokana na ''Ulipuaji'' uliofanyika na wajenzi wake.

No comments:

WATEMBELEAJI