Wednesday, December 1, 2010

KUNYONYA POPOTE NDIO MALEZI HAYO....

Katika uzinduzi wa Juma la Ukimwi, viwanja vya sabasaba hapa Morogoro, nyumbani kwetu kulikuwa na mengi sana. Lakini kilichonipa raha ni kuona Mama anafurahia mafundisho hayo kuhusu Ukimwi na mtoto anafurahia chakula chake kutoka katika titi la mama yake.

Ni maneno kutoka kwa:
-Lukwangule.

No comments:

WATEMBELEAJI