Friday, December 3, 2010

PEPE KALLE & EMPIRE BAKUBA; WANA AFRIKA NA MUZIKI!

Pepe nakukumbuka sana na miziki yako iliye tusindikiza daima wakati huo, nikikukumbuka sana kwa miziki yako niliokuwa nikiipenda sana miwili; wa kwanza wa ROGGER MILLA, na wapili IDAYA WANGU! Pia namkumbuka sana Emolo wako mfupi alivyokuwa akiyarudi ile mbaya. Pepe Mungu akulaze pema peponi huko uliko.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

hahaaaaa´! kwa nin alikuwa akienda kwenye ule mwamba? nawaza kwa sauti tu....

Baraka Chibiriti said...

Ha ha ha haaaaa.....kwa kushangilia, kama kwa mambo mengine,,mimi sijui!

WATEMBELEAJI