Monday, December 6, 2010

TUTAKUJA KUELIMIKA.. KWA MAMBO KAMA HAYA YA HATARI???







Bado tuna safari ndefu sana kuwa na ufahamu wa mambo kama haya ya hatari. Na vile vile ajali zinatokea kila siku, lakini watu bado hawajifunzi. Mungu anisamehe...mimi nikimkuta mtu kama huyu kapata ajali simpi msaada wangu kabisa! Nitapita tu kama simwoni vile.....kwa hili naomba sana Mwenyezi Mungu anisamehe.



No comments:

WATEMBELEAJI