Monday, December 6, 2010

WADAU WANGU NIMERUDI SALAMA...BAADA YA MAPUMZIKO!

Wadau wangu wapendwa, nimrudi baada ya mapumziko ya muda mfupi na kushindwa baridi kali na theruji ya kutisha huko milimani. Lakini mambo yote yameenda vizuri sana! Tupo pamoja daima kuendeleza kijiwe chetu hiki cha Kazi yako ni Jina lako.
Japo ni siku mbili...lakini niliwamiss sana!

No comments:

WATEMBELEAJI