![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbzQrKoybbg4bqKvDhAKLagj8LDlYYC_hBbAf3yiotWwtWcv-yNaqaZMFR6PRCcNz15uVlpSK0a9tpAGJxq09CFePPtYFP_00UeVAl1zL_4nup2Ek6Iggw_hl-T8oN3Fd68K2Bt5og0H0/s400/KUFAULU.1.jpg)
Lucy Mallya (18), mwanafunzi aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne Kitaifa mwaka 2010. Shule aliyokuwa akisoma ni Marian ya Bagamoyo. Pia ni mtoto yatima, aliyetunzwa na Baba yake mkubwa.
Pichani akiwa kijijini kwao Nguruma, Arumeru...jana.
-Blog ya Kazi yako ni jina lako; inakupa hongera sana na kukutakia kila lakheri hapo baadae.
No comments:
Post a Comment