Friday, January 28, 2011

JAMANI UJI WA SHULE NI MTAMU....ACHA TU!

Nakumbuka tulikuwa tukiusubiri kwa hamu sana, wakati upo kwenye foleni unaona hufiki tu! Uji wa shuleni sijui kwanini una mvuto sana.....sio tu kwasababu ya njaa, bali una mvuto sana. Kama umepitia lazima utakumbuka tu!

No comments:

WATEMBELEAJI